Sunoi

Damu ya Yesu

Creato da: Sunoi

Creato: 25 set 2026

Durata: 4:05

Crea qualcosa di simile
[Verse 1]
Damu ya Yesu imeniosha,
Kanitakasa kabisa.
Damu ya Yesu yanipa amani,
Na ukombozi kamili.
Damu ya Yesu imeniosha,
Kanitakasa kabisa.
Damu ya Yesu yanipa amani,
Na ukombozi kamili.

[Chorus]
Imenipa ujasiri,
Wa kuingia patakatifu,
Na kunifanya mwenye haki,
Mbele za Mungu Baba.

Imenipa ujasiri,
Wa kuingia patakatifu,
Na kunifanya mwenye haki,
Mbele za Mungu Baba.

Damu ya Yesu,
Damu ya Yesu,


[Verse 2]
Nilipokuwa mbali,
Ukanileta karibu.
Damu yako ya thamani,
Imenifungulia njia.

Sasa nimesimama,
Kwa neema yako Bwana.
Nina amani moyoni,
Kwa damu ya Yesu.

[Chorus]
Imenipa ujasiri,
Wa kuingia patakatifu,
Na kunifanya mwenye haki,
Mbele za Mungu Baba.

Imenipa ujasiri,
Wa kuingia patakatifu,
Na kunifanya mwenye haki,
Mbele za Mungu Baba.


Damu ya Yesu,
Damu ya Yesu,
Damu ya Yesu,
Damu ya Yesu

Crea la tua musica con l'AI

Genera brani di qualità studio in pochi secondi

Inizia