Imenipa Ujasiri
gospel worship song with complicated jazzy feeling with bass lines beatifull drums are well done snare is perfect harmonies are well done interludes brings that ampience of worship thae piano worship
Created by: Sunoi
Created: Sep 25, 2026
Duration: 5:33
[Verse 1] Damu ya Yesu Imeniosha Kanitakasa kabisa Damu ya Yesu Yanipa amani Na ukombozi kamili [Verse 2] Damu ya Yesu Imeniosha Kanitakasa kabisa Damu ya Yesu Yanipa amani Na ukombozi kamili [Chorus] Imenipa ujasiri Ya kuingia patakatifu Nakunifanya mwenye haki [Instrumental] Mbele za Mungu Baba Imenipa ujasiri Ya kuingia patakatifu Nakunifanya mwenye haki Mbele za Mungu Baba [Verse 3] Damu ya Yesu Damu ya Yesu [Verse 4] Damu ya Yesu Imeniosha Kanitakasa kabisa Damu ya Yesu Yanipa amani Na ukombozi kamili [Chorus] Imenipa ujasiri Ya kuingia patakatifu Nakunifanya mwenye haki Mbele za Mungu Baba Imenipa ujasiri Ya kuingia patakatifu Nakunifanya mwenye haki Mbele za Mungu Baba Imenipa ujasiri Ya kuingia patakatifu Nakunifanya mwenye haki Mbele za Mungu Baba Damu ya Yesu Damu ya Yesu [Verse 5] Damu ya Yesu Imeniosha Kanitakasa kabisa Damu ya Yesu Yanipa amani Na ukombozi kamili [Chorus] Imenipa ujasiri Ya kuingia patakatifu Nakunifanya mwenye haki Mbele za Mungu Baba Damu ya Yesu Damu ya Yesu [Outro] Imenipa ujasiri Ya kuingia patakatifu Nakunifanya mwenye haki Mbele za Mungu Baba
Create Your Own AI Music
Generate studio-quality songs in seconds
Get Started